Ni namna gani kijana aliyepooza aliweza kushiriki mashindano ya mbio ndefu
Iliyochapishwa
Adam Gorlitsky amepooza kuanzia kwenye kiuno, lakini licha ya ulemavu wake, aliweza kumaliza mashindano ya mbio ndefu nchini Marekani, mjini Charleston, South Carolina, katika saa 33, dakika 16 na sekunde 28.
Lakini aliwezaje kufanikiwa katika mashindano haya.