Maandamano Iran: 'Tumekuwa mateka katika nchi yetu'

Maelezo ya video, Maandamano Iran:Tumekuwa mateka katika nchi yetu
Iliyochapishwa

Maandamano yamekuwa yakiendelea Iran baada ya mamlaka nchi hiyo kukiri kuhusika kuidukua ndege ya kimataifa ya Ukraine, siku chache baada kukataa kuhusika katika tukio hilo.