Jinsi wagonjwa wa akili wanavyopata faraja kwa kuoka mikate

Iliyochapishwa

Duka la mikate la aina yake lililopo ndani ya hospitali ya watu wenye matatizo ya akili huko Beijing.

Wagonjwa wanaweza kujitolea kufanya kazi katika duka hilo kwa kuoka mikate na kuiuza.

Ingawa baadhi ya watu hawaamini mikate hiyo kuwa ni salama.