Said Jammal alimjengea nyumba ya mkewe kwa miaka 20

Maelezo ya video, Nyumba iliyojengwa miaka 20 yageuka kuwa kivutio
Iliyochapishwa

Mhandisi Said Jammal ametumia miaka 20 kujenga nyumba ya familia yake mjini Abuja ,Nigeria.

Mhandisi huyo anasema kuwa anataka kuacha kumbukumbu akiondoka.

Nyumba hiyo ya ndege ameijenga kwa ajili ya mapenzi yake kwa mkewe, heshima kwa taifa lake na zawadi kwa familia yake.

Nyumba yake imekuwa kivutio cha utalii.