Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kijana mmoja Tanzania anuwia kulipa matibabu ya saratani kwa kipaji cha uchoraji
Iliyochapishwa
Kijana mdogo nchini Tanzania ameamua kutumia kipaji chake cha uchoraji ili aweze kuokoa maisha ya mama yake.
Joseph Shola ameamua kuchora picha mbalimbali na kutumia picha hizo kutengeneza kalenda ili aweze kupata fedha za kumtibia mama yake ambaye anaugua ugonjwa wa saratani.
Eagan Salla alikutana na kijana huyo...