Mkenya anayemiliki pango kumridhisha Mungu

Maelezo ya video, Mkenya anayemiliki pango kumridhisha Mungu
Iliyochapishwa

Francis Ouma kutoka magharibi mwa Kenya anamiliki pango la vyumba 24 ambalo anadai kwamba alilichimba baada ya kuamrishwa na Mungu.

Ndani ya pango hilo kuna chumba kimoja ambacho kina jiwe lililoandikwa 'Amri 5' ambazo anadai alipewa na Mungu. Faith Sudi alimtembelea nyumbani kwake na akaandaa taarifa hii.

Unaweza kusoma pia: