Jinsi mayai yanavyoweza kukuepusha kupata mafua

Maelezo ya video, Jinsi mayai yanavyoweza kukuepusha kupata mafua
Iliyochapishwa

Shirika la afya duniani limesema kuwa kila mwaka, watu wapatao milioni tano wameugua na watu wengine 650,000 wamefariki kutokana na mafua.

Lakini je, unafahamu chanjo inayotumika zaidi?