Kilabu cha burudani kinachouza hewa safi nchini India.

Maelezo ya video, Kilabu cha burudani kinachouza hewa safi nchini India.
Iliyochapishwa

Wakati wauzaji wa hewa hiyo wakisema kuwa inasaidia kusafisha sumu inayotokana na uchafu wa mazingira.

Wataalamu wa afya wanadai kuwa huo ni ulaghai tu wa kibiashara na hakuna tatizo linaloweza kutatuliwa kwa kutumia njia hiyo.