Mwanaume mmoja Ethiopia ageuza gari lake kuwa nyumba
Iliyochapishwa
Devera Abinet Tadesse kutoka Ethiopia, alikuwa anapenda kutumia muda wake mwingi kupumzika kwenye gari.
Na kumfanya kupata wazo kuwa hata gari linaweza kuwa nyumba yake.
Hivyo alipata makazi ambayo anadai kuyafurahia zaidi , kutokana na utulivu wake.
Tadesse aliweza kujenga nyumba yenye ghorofa mbili ambayo ilikuwa na vyumba vitatu vya kulala.
