Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Nini kinachoendelea Iran?
Iliyochapishwa
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International linasema kuna ripoti za kuaminika zinazoashiria kuwa watu 106 wameuawa nchini Iran tangu Ijumaa wiki iliyopita wakati wa maandamano ya kupinga ongezeko la bei ya petroli.
Umoja wa mataifa umetoa wito kwa maafisa wa usalama kutotumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji na kuomba huduma ya intaneti kurudishwa.