Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Ubunifu wa jiko linalotumia makaa ya mawe
Iliyochapishwa
Omap ni jiko lililobuniwa kwa lengo la kuokoa mazingira na gaharama, linalotumia mawe ambayo ni mabaki ya voclano ambayo ni maarufu kwa wengi kama mawe ya kusugulia miguu.
Shabani Machemba ndio mbunifu wa jiko hili, yeye anasema jiko hili lina uwezo wa kupika chakula kama maharage kwa dakika 15 tu.