Episode details

BBC,2 mins
‘Matokeo feki' yasababisha mwanafunzi kuutoa uhai wake
Available for over a year
Chuo Kikuu kimoja nchini uingereza kimehimizwa kurekebisha namna matokeo ya mitihani yanavyotangazwa baada ya mwanafunzi wa kemia kujiua alipoambiwa kimakosa kuwa kafeli mtihani. Mwanadada huyu mwenye umri wa miaka 21 aliamua kujitoa uhai kwa kuhofia kwamba hatofanya mtihani wake wa mwisho.
Programme Website